|
Kwa mara ya kwanza nilikutana na Mr. Timzi(Timothy) Mungai
na Miss Janet Gathoni kwa sasa ni mume na mke ilikuwa Mchana wa Tarehe
31.12.2010,tukiwa kwenye foleni ya kulipia kingilio cha kuingia kwenye msitu wa
Jozani (Jozani Forest)a.k.a. Msitu wa kima wekundu..nikiwa na marafiki zangu
Caleb ama Calebrity Hassan Zanga al-maarufu Zanga na Jessica au Jessie Jam.
Tukiwa tunashangaa shangaa ili tulipe vya hela nikaona Caleb
anatuacha anaenda salimiana na Timzi,nikajiuliza huyu Caleb ndio kwanza hii
mara yake ya kwanza kuja Zanzibar inakuwaje kufahamiana na watu tena huku mbali
na nje ya wilaya ya Mjini Magharibi?..Basi ule wimbo wa Zanzibar uuh Zanzibar
beautiful Island of Africaaaaa ukanijia ghafla…Then after wao kusalimiana zoezi
la utambulisho likaanza Caleb akasema Huyu anaitwa Timzi na alikuwa Kiranja
kwenye skuli nliyokuwa nasoma…hihihi jina Kiranja limenikumbusha mbali,halafu
akaongeza kuwa hawajaonana kwa miaka mingi sana ila hatimaye wamekuja onana,We
were happy then Timzi alikuwa na mdada mrembo sana pembeni yake akatutambulisha
kuwa anaitwa Janeth na ni mchumba wake wamekuja Zanzibar for vacation ya
Holiday Season….That was lovely for sure
Basi tukaanza kuchanja mbuga kuingia msituni we enjoyed
being around them na wao pia waliifurahia kampani yetu..ila ubaya ama uzuri wao
walikuwa wanamalizia mustakabali wa vacation yao hapo kwenye msitu kwani saa
tisa kamili wanatakiwa wawe bandarini kwa ajili ya kupanda boat na kurudi Dar
Es Salaam ili warudi zao Nairobi n amuda huo ilikuwa saa nane kasoro so
hatukuona hiana tukapeana manamba mafacebook anwani nini wao wakaenda zao sisi
tukabaki Kuexplore msitu.
Kilichonifanya niandike haya niyaandikayo ni furaha yangu ya
kukutana na these guys na wameweza kwa
kudra za Mwenyezi Mungu kufika hapa walipo leo kwani Mwaka jana mwezi wa
kumi wali-tie their knot na kuwa Mume
na Mke na sasa hivi Janet ni mama
Kijacho kwani soon ata-deliver mtoto wao wa kwanza,Ni maombi yangu kwa
Mwenyezi Mungu awasaidie kina Mungai kuimaliza salama safari yao ya Ujauzito,Na
pia katika maisha yao ya ndoa na familia yao wakati wanamkaribisha the new baby
in their family..Viva Mungai’z Viva
|
Janet na Timzi
Tukiwa katika msitu wa Jozani Kushoto ni Jessie Jam,katikati ni Janeth na kulia ni Atu
Caleb na Timothy wakiexchange namba
Wachumba na Classmates
On their BIG DAY
Hatimaye ni Mr & Mrs Mungai
Mambo ya Pedicure na rings on their Big Day
Waki-tie the knot katikati ya mto
Baba na Mama Kijacho
No comments:
Post a Comment