Friday, October 3, 2014

TOA DAKIKA YAKO MOJA KUSAIDIA KAMPENI YA KUOKOA JAMAA ZAKO

Rafiki naomba kura yako kama sapoti ya kutambua mchango unaotolewa na shirika la Under The Same Sun Nchini Tanzania katika kukemea ukatili unaofanywa na watu dhidi ya watu wenye Albinism........ingia kwenye Link hii kwa kupiga kura yako,http://www.humanrightstulip.nl/interim-ranking
Interim Ranking

No comments:

Post a Comment