Monday, November 3, 2014

BIASHARA: Tahadhari kwa watumiaji wa Mayai Jijini

Wimbi la usamabazaji wa bidhaa hafifu katika masoko kwa sasa limeendelea kushika kasi ambapo safari hii chama cha wafugaji wa kuku mkoa wa Dar es salaam ufukuda wamekamata shehena ya lori la mayai mabovu ambayo Yalikuwa yanauzwa na kusambazwa na mmoja wa wafanyabiashara wa mayai ambaye anae patikana eneo la Banana ukonga.Mayai hayo mabovu yanadaiwa kusafirishwa kutoka nchi jirani na kuletwa hapa nchini yakiwa tayari yameharibika na kuchanganywa na mayai mazima.

No comments:

Post a Comment