Monday, November 3, 2014

FASHION: Sheria Ngowi Mbunifu Mavazi anaezidi kung'ara

Mbunifu Sheria Ngowi Afunika katika maonyesho ya mavazi ya 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' Nchini Afrika Kusini

Akipita mbele kuonyesha mavazi aliyoyabuni katika onyesho la 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' Nchini Afrika Kusini

                                       Moja ya kazi nzuri za ubunifu wake Sheria Ngowi



No comments:

Post a Comment