Friday, December 28, 2012

STORY ZA FECEBOOK WALICHOKISEMA BAADHI YA WATU KUHUSU GAS YA MTWARA


MWIGULU NCHEMBA:KAMA NINGEKUTANA USO KWA USO NA MH RAIS WANGU MPENDWA JAKAYA MRISHO KIKWETE NINGEMSHAURI KAMA TUNATAKA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA GESI BASI TUJENGE HUKO MTWARA..KWANI HII ITAKUZA MIJI YA MTWARA NA LINDI NA KUIFANYA KUWA MIONGONI MWA MAJIJI MIKUBWA..NA KUIFANYA TANZANIA YETU KUPANUKA PILI ITATOA FURASA NYINGI ZA AJIRA KWA WATU WA HUKO NA KUPUNGUZA IDADI YA VIJANA KUKIMBILIA DAR ES SALAAM.NCHI ZA WENZETU ULAYA ZILIENDELEA KWA MTINDO HUU KULIKO KUWA NA MJI MMOJA WENYE MSONGAMANO WA VIWANDA NA WATU WENGI...WEWE UNASEMAJE MTANZANIA MWENZANGU.


HENRY KILEWO ANASEMA:Swala la wananchi wa Mtwara Wasipuuzwe, Wakipuuzwa hawatanyamaza, serikali itoe majibu kujusu madai ya wananchi, Wabunge wa mikoa hiyo ya kusini bila kujali itikadi ya vyama vyao wawaunge wananchi wao mkono kupata haki zao. Kuwa shujaa siyo kumtetea boss wako wakati wote mara nyingine unafanya kwa maslahi ya wengi. Hapa ndipo serikali ya ccm inapaswa kutambua swala la serikali ya majimbo hata kama ni sera ya chadema

No comments:

Post a Comment