Tuesday, October 30, 2012

HERE WE ARE..MWANAMUME ANAYESIMAMIA MANENO YAKE KWA VITENDO..HONGERA BABA MWAKYEMBE WEWE NI MFANO WA KUIGWA.

 Hip hip hip hip hip hip...hureey hureey hureey hureeeeey..Viva Mwakyembe Vivaaaa.

 Chezeya treni wewe siku hizi sijui kutakuwa na msaada tutani?

 Treni ndo usafiri wa kukufikisha kwako siku hizi.
 

 Watu mnaji-enjoykiroho safi kwa hewa safi kwenye usafiri mwanana.
Hatimaye vimekamilika mustakabali ndo huo.

No comments:

Post a Comment