LAW/RIGHT

DHULUMA INAYOFANYWA NA MAKAMPUNI MBALIMBALI YANAYOTOA HUDUMA KATIKA JAMII
 Kumekuwa na wimbi la sintofahamu miongoni mwa wanajamii kuhusiana na mfumo wa makampuni utitili yanayotoa huduma kwa jamii kama mawasiliano, umeme na maji kwa kuwa na makatizo yasiyokuwa na maelekezo maalum yanayopelekea kuzorota kwa huduma katika jamii katika maeneo mengine ukizingatia kuwa huduma hizi zinamahusiano ya karibu na uchumi katika jamii.

kumekuwa na malalamiko ya chini kwa chini yakilalamikia na kuonyesha shaka kwa baadhi ya huduma za mitandao ya simu ambayo imekuwa ikikatiza mawasiliano kwa muda flani na baadae mteja akaishia kutumiwa sms ya kuombwa radhi bila kujali kuwa katika kipindi ambacho walikuwa hawapo hewani walisababisha usumbufu na kupotea kwa fulsa za watumiaji katika maeneo wanayounganishwa kwa kiasi gani?
hivi sheria kwa watoa huduma inasemaje? na tumiaji wa simu kwa mtandao anaoutumia ikitokea mtandao huo ukawa haupo hewani kwa masaa matatu au matano bila NOTES mteja anaweza kulishtaki kampuni Husika?..............Itaendelea.......


No comments:

Post a Comment