Tuesday, November 6, 2012

JK amaliza tatizo la maji Katesh

Mkuu wa wilaya hiyo, Christine Mndeme, alimshukuru Rais Kikwete kuwezesha ujenzi wa Barabara ya Minjingu-Babati na Katesh-Singida, ambayo itawarahisishia wananchi usafiri.

No comments:

Post a Comment