Saturday, November 8, 2014

Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

Sitti Mtemvu 2014 kajivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam.

Mshindi namba 2, Lilian Kamazima kakabidhiwa rasmi taji hilo.
Hapo mwanzo alikua anashutumiwa Kwamba amegushi vyeti na umri ili ashide umiss ambapo ilizua mjadala mkubwa kwenye huu uzi Miss Reds Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kazi anayo, Umri wake utata mtupu . Hata hivyo alikanusha habari hizo kwamba sio za kweli ambapo hata Hashimu Lundenga alithibitisha kwamba hajagushi umri kwenye huu uzi Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote.No comments:

Post a Comment