Thursday, November 6, 2014

HATARI:POLISI WAKAMATA KONYAGI FEKI VINGUNGUTI

 Baadhi ya watuhumiwa wa Konyagi feki wakifanya kazi ya  kupakia kwenye mabox konyagi hizo ambapo walikamatwa na jeshi la polisi na kufikishwa kituo cha polisi buguruni kwa uchunguzi zaidi
 Baadhi ya watumiwa wakiwa chini ya ulinzi ambapo jana waliswekwa lumande na kulala ndani ya kituo cha polisi buguruni baada ya kukamatwa wakipack konyagi feki maeneo ya vingunguti Dar es salaam jana 
 MMOJA YA WATUHUMIWA AMBAYE ALIJITAMBULISHA KUWA YEYE NI MMILIKI WA KONYAGI FEKI AKIWA CHINI YA ULINZI BAADA YA KUKAMATWA JANA

 Baadhi ya maofisa usalama wakiangalia mzigo uliokamatwa ukipandishwa katika gari kwa ajili ya kuelekea kituo cha polisi buguruni
 Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi


No comments:

Post a Comment