Saturday, May 31, 2014

Director wa tv shows, movie na drama Tanzania George Tyson Afariki

Vilio vinaendelea katika tasnia ya filamu nchini tanzania baada ya jana usiku kutokea ajali mbaya maeneo ya panda mbili karibu na gairo iliyopoteza maisha ya George Tyson.pengo la tyson hakika ni kubwa sana
Ujumbe wa Monalisa mzazi mwenza wa Tyson aliouweka kwenye mtandao wa instagram mara baada ya kupata taarifa ya kifo cha Tyson
Gari alimokuwemo Tyson. .........
Picha kwa hisani ya Dj Choka

No comments:

Post a Comment