Sunday, June 1, 2014

Msanii wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY' ajitolea kununua jeneza katika msiba wa George Tyson

 Msanii wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY' (anayehesabu pesa) aliamua kujitole kununua jeneza la kusafirishia mwili w marehemu, jeneza hilo liligharimu kiasi cha shilingi laki sita ambazo AY alizitoa cash!
 wakisaidiana kubeba jeneza hilo kuelekea hospitalini baada ya kulinunua
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba (mbele), akiongozana na AY kuelekea hospitalini

No comments:

Post a Comment