Monday, September 23, 2013

SHUGHULI BADO NI PEVU WANAUSALAMA WA KENYA WAENDELEA KUSHUGHULOJIA NAMNA AMBAVYO WATAKAVYO WAKAMATA WASHAMBULIZI

KAZI BADO NI KUBWA KWA MAOFISA USALAMA NA WANAJESHI WALIOPO ENEO AMBALO SHAMBULIO LA KIGAIDI LIMEFANYIKA NCHINI KENYA,WATU ZAIDI YA 176 W@M3JERUHIWA VIBAYA NA RISASI IKIWA PAMOJA NA WATU 60 KUPOTEZA MAISHA YAO.ALSHAABAB AMBAO BADO WAPO NDANI YA NCHI WANAENDELEA KUWASHIKIRIA KAMA MATEKA KATIKA SHAMBULIO HILO

No comments:

Post a Comment