Sunday, September 22, 2013

IDADI YA WALIOKUFA KUTOKANA NA SHAMBULIO NCHINI KENYA WAFIKA 43

SHIRIKA LA MSALABA MWEKUNDU NCHINI KENYA LINASEMA IDADI YA WATU WALIOKUFA MPAKA SASA KUTOKANA NA SHAMBULIO LA KIGAIDI LILILOTOKEA KATIKA DUKA LA KIFAHARI LA WESTGATE NCHINI KENYA NI 43,AFISA MMOJA MKUU WA KUNDI LA KIGAIDI LA ALSHABAAB AMEIFAHAMISHA BBC KUWA KUNDI HILO NDILO LILILOHUSIKA NA SHAMBULIZI DHIDI YA DUKA HILO LA KIFAHARI MJINI NAIROBI.

No comments:

Post a Comment