Sunday, September 22, 2013

HUYU NDIE MISS TANZANIA 2013


HATIMAYE SHINDANO LA KUMSAKA MREMBO ATAKAE IWAKIRISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA KIMATAIFA LIMEKAMILIKA USIKU HUU HUKU MWANADADA HAPPINESS KUTOKA DODOMA ALINYAKUA TAJI HILO,HII NI FARAJA KUBWA SANA KWA WATU WA DODOMA AMBAO NDIO WALIOSABABISHA MREMBO HUYU KUTWAA TAJI BAADA YA KUMKUBALI TANGU NGAZI ZA VITONGOJI MPAKA ALIPOTWA TAJI HILO.

No comments:

Post a Comment