Sunday, August 3, 2014

HIZI HAPA PICHA 50 ZA HARUSI YA Bwa. Emmanuel na Bi.Nyanzige

 Harusi hii ilifungwa kwenye kanisa la Wasabato mikocheni na baadae Hafla iliendelea katika ukumbi wa kiramuu mbezi beach..........bwana na bibi harusi wamekaa kwenye mahusiano tangu 2008 wakiwa wamepitia milima na mabonde leo wapo kwenye ndoa pamoja Glory be to God
No comments:

Post a Comment