Sunday, September 22, 2013

UGAIDI MWINGINE TENA WATOKEA NCHINI KENYA WATU ZAIDI YA 35 WAPOTEZA MAISHA

WATU ZAIDI YA 35 WAMERIPOTIWA KUFA NA WENGINE ZAIDI YA 150 KUJERUHIWA VIBAYA BAADA YA WATU WENYE SIRAHA KUVAMIA JENGO MOJA LA GHOROFA NNE NAKUWASHAMBULIA WATU WALIOKUWEMO NA KUSAMABISHA VIFO VYA WATU 35 NA WENGINE 150 KUJERUHIWA VIBAYA MJINI NAIROBI NCHINI KENYA.VYOMBO MBALIMBALI VIMERIPOTIWA VIKIELEZA KUWA HUU NI UGAIDI MWINGINE KUJITOKEZA KATIKA NCHI YA KENYA.
No comments:

Post a Comment