Saturday, November 8, 2014

Vijana kuathirika na saratani ya utumbo

Saratani ya utumbo miongoni mwa watu walio na umri chini ya mika 34 inatarijiwa kuongezeka maradufu miaka kumi na tano ijayo.
Watafiti wamesema kuwa takwimu hiyo inaibua hisia kuhusu kupambana na mojawapo ya saratani hatari duniani.
Kuongezeka kwa ugonjwa huo miongoni mwa vijana kunasababishwa na chaguo lao la kimaisha kinyume na kupungua kwa visa vya ugonjwa huo miongoni mwa watu wenye umri zaidi ya 50.
Upungufu huo umesababishwa na kuzingatia uchunguzi kwa kina.
Ongezeko la ugonjwa huo katika vijana unalinganishwa na kula vyakula visivyokuwa na madini ya kufaidi mwili na pia mienendo potofu ya kimaisha

No comments:

Post a Comment