Sunday, November 9, 2014

USA BLACK IN WEDDING : NATASHA AND MARVIN

Harusi nyingi zinazofungwa kwa waameika zinakuwa na watu wachache na zinakuwa hazina makuu kama za kwetu TZ ambazo zingine zinakuwa hadi na watu 1700 wenzetu wanajitahidi sana kufanya vitu vya msingi kwenye sherehe kwa msingi wa kuboresha shughuli husika.

No comments:

Post a Comment