Thursday, October 18, 2012

MIONEKANO TOFAUTI TOFAUTI YA MRS OBAMA KWENYE PICHA...SHE IS A REALLY FASHIONISTA HATA WEWE BI DADA,MWANAMKE,SHOSTISTO,MREMBO,MRS,MUKE YA MTU,MWALI NA HATA KAKA ZANGU WENYE MAMA DADA MKE MCHUMBA WAWEZA PATA THE LOOK AND THE STYLE NA DESIGN UNAYOTAKA ILI MTU WAKO ATOKELEZEE

 I call it a haaawt pink Suit.
 Cardigan na Smile on her face huwa havisahau huyu Mama.

Hiyo inaitwa red and white Talbots summer dress akachanganyia  na white cardigan.
 Mguu ukishine na kimetallic pointed flat.
 Treating her like a LADY..habari ndo hiyo..Ya Heeeeard!
 She wa on a flirty indigo floral number.
  A lightly embellished animal print A-line dress.
 The First Lady wore a seasonally green Michael Kors dress, with matching chandelier earrings.
A Stunning lilac dress.
 She was on..Thakoon sheath dress with a cropped 3/4 sleeve cardigan, Schreiner brooch and patent leather kitten heels na bintiye.
 Alijipigilia with  a high-waist jacquard pencil skirt.
 Pastel Pleaser
 Stage Presence yake
 Isn's she lovely?
 Casual and Cute
 Akijienjoy na mchezo wa Hula Hoops with the blue Cardigan na silver-studded belt
 Bow-Front Blouses
 One-shoulder gown.....Imemtoaaaaaaaaaa

 Mtu chake bhana asikwambie mtu
 hichi ndicho wabongo wengi hukiita Mama Obama SHOE


Carry on yake

No comments:

Post a Comment