Monday, October 22, 2012

TEAM OBAMA vs TEAM ROMNEY


Lile joto la kampeni nchini marekani kwa ajili ya kumchagua rais wa awamu ya 57 bado liko more than hot kinoma noma imepelekea mpaka Mastaa wa huko kujiwekea makundi ya Mimi wa Obama mimi wa Romney..tupate habari kamili za nani zaidi je ni Democratic au Republican?
 The Candidate Mr. Barack Obama Chama Cha Democratic
 Mr. Mitt Romney akitokea Massachusetts Chama cha Republican
 Ashley Judd for Obama.
 Mume ya Dina Ruiz (Clint Eastwood) Romney forever ever.
 Hahahahaha...George Clooney sawa nishakusoma wewe ni Obamahood.
 Muzee wa Mijihela Donald Trump anavote-ka na Romney
 Sweet Escape ya Gwen Stefani imedondokea kwa Obama.
 Musician Bon Jovi,Kiroho safi na Obama.
 Bi Dada wa Desperate housewives Eva Longoria pamoja sana Obama.
 Kid Rock rocked out with Mr. Romney.
 Actress Natalie Portman Obama is for meeeeee.
 Baba na Mama Ivy Blue (Jay Z na Beyonce) wao hawana hiyana na Obama.
 Eddie Vedder ooh! yeah Obama.
 Mkongwe Chuck Norris,Romney ni wake
 The singer of the song La Copa de la Vida Ricky Martin is in Team Obama.
 Mr. Samuel L. Jackson kidole kimoja weka juu kwa Obama.
 Star wa filamu ya The avenger Scarlett Johansson when it comes to Obama she is in.
 Muigizaji Stacy Dash Yeye na Romney damu damu.
 The handsome former Massachusetts Governor Mitt Romney akiwa anajifagilia na wafuasi wake.
Baba Angelina Jolie (Jon Voight) Yeye ni Team Romney.

No comments:

Post a Comment