Friday, October 19, 2012

VURUGU ZIMEENEA SEHEMU MBALI MBALI


VURUGU ZIMEENEA SEHEMU MBALI MBALI JIJINI LEO MAGARI YA POLISI YAMETANDA IKULU YA DAR ES SALAAM WAANDAMANAJI WAKIENDELEA KUJIPANGA SEHEMU MBALI MBALI HUKU WENGINE WAKIENDELEA KUDHIBITIWA NA POLISI KWENYE MAENEO YAO MAMBO HAYA YAMEANZA BAADA YA SWALA YA LEO ENDELEA KUWA NASI TUTAENDELEA KUKUJUZA MENGI HAPA

No comments:

Post a Comment