Monday, November 12, 2012

HATIMAYE EPIC BONGO STAR SEARCH YAMALIZIKA...HUKU PAPUSHKA WALTER CHILAMBO AKIWA NDIYE MSHINDI WA MWAKA 2012..BRAVOOO KAKA.

 

 THE TOP FIVE.

 MAJAJI WAKIUANGALIA NA KUUJADILI MPAMBANO.
 NAWEZA KUMUITA NNEKA AU ASA WA BONGO (SALMA YUSUPH) THIS GIRL ANA VOCAL ZA KIMATAIFA.
 TOP THREE.
 MADAM RITHA NA THE TOP TWO.
 WALTER CHILAMBO AKITUMBUIZA.

FROM NOBODY TO SOMEBODY HONGERA WALTER, YOU DID IT WELL.

No comments:

Post a Comment