Thursday, November 15, 2012

JIANDAE KUSHIBA KIROHO SAAAAAFI KWA SIKU 7....NA RIOT.

Wale waandaaji wa Tamasha la RIOT na Mkutano wa WHEN WOMEN WORSHIP, Kwa mara nyingine tena wanakuletea kitu kipya ambacho hujawahi kisikia masikioni mwako nacho si kingine bali ni WHEN MEN PRAISE CONFERENCE. Jiandae kushiba kiroho kupitia Watumishi wa Mungu mbalimbali ambao watakuhudumia kwa siku 7 mfululizo...Kaa mkao wa kula kaa mkao wa kupokea kutoka kwa Mungu..Come one Come all..upatapo kuona Tangazo hili mjulishe na mwenzako.

No comments:

Post a Comment