Friday, December 21, 2012

GODBLESS LEMA ASHINDA KESI..AWA MBUNGE HALALI

 Picha tofauti tofauti zikionesha Godiiie alivyo winiiie Kesiii

 Akitoka kwa ushindi asilimia zote.

 Dont mess with Chadema..Yani ndo kama namsikia vile huyu mama akisema hilo neno.
 Mbungu wa Jimbo la Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chadema(Aliyesimamishwa Ubunge) Godbless Lema A-win Kesi.
 Papaa Slaa akiongea na vyombo vya habari.
Hongera sana Kijana wangu.

No comments:

Post a Comment