Monday, November 19, 2012

JUMANNE HII SAA 3:30 USIKU NDANI YA CLOUDS TV ONGEA NA JANET MSIMU WA PILI INAANZA KWA KISHINGOONGEA NA JANET IMERUDI KLWA KISHINDO AMBAPO SASA ITAONEKANA MARA MBILI KWA WIKI HUKU IKOIAMBATANA NA MARUDIO YAKE NA KWA KUANZA MSIMU WA PILI KESHO ANAKUJIA NA MADA YA HIV JE KUNAUWAZI WAKUTOSHA SASA NA HASA KUTOKANA NA VIFO VINAVYOTOKANA NA HIV?KUTANA NA MASTORI KIBAO YA WATU KIBAO WALIOTOA USHUHUDA WAO KUTOKANA NA MADA NZIMA YA HIV NI KESHO SAA 3:30 USIKU MARA TU YA KIPINDI TAKE ONE SI YAKUKOSA NDANI YA CLOUDS TV ILIYOBORA ZAIDI KWA VIJANA WANAOKWENDA NA WAKATI.

No comments:

Post a Comment