Monday, November 19, 2012

R.I.O.T. R.I.O.T. R.I.O.T..WHEN MEN PRAISE NDIO LEO..DON'T DARE TO MISS OOH!


 Ni kuanzia Jumatatu ya leo mpaka tarehe 25 ya mwezi huu,ambapo utaungana na kusanyiko la watu wa Mungu ili upate mafundisho ya kiroho,ili upate wakati wa kusifu na kumwabudu Mungu katika ukumbi wa Makumbusho kuanzia saa 11:30-2:30 jioni..Tazamia kuhudhuria. 


 Fundi mitambo aki-arrange mitambo yake for tonight's session.

No comments:

Post a Comment