Monday, November 19, 2012

NANI ALIMUIGA MWENZIE?NA NANI ALIPENDEZA?

Hapo sasa aliyegelezea ni Aunty au Shoga yangu Neema Bill Mato? Who wore it best?kumbuka Harusi ya Ney wangu ilifanyika tarehe 14.07.2012..kwanza happy 4 months ANNIVESARY BABES, Mungu azidi kuibariki ndoa yenu wewe na William Mato.

No comments:

Post a Comment