Friday, December 7, 2012

HAYA NDIYO YANAYOTUFANYA TUKADUMU PAMOJA KAMA VIJANA KATIKA KANISA (ARMY OF THE LORD)KKKT MBEZI BEACH 2012

 WATAALAM WA MASWALA YA HABARI KKKT MBEZI BEACH TUKIWA KATIKA POZI
 WATUNZAFEDHA WETU NA KATIKATI NI MWENYEKITI MICHEZO
 MWENYEKITI AKIONGEA NA KANISA
 MASS CHOIR YA KKKT MBEZI BEACH
 MWENYEKITI AKIJUMUIKA NA VIJANA WAKE KATIKA KUMSIFU MUNGU,NIUPENDO WA NAMNAGANI HUU!
 PRAISE TEAM KKKT MBEZI BEACH
 SOLLO GITAA AKIACHILIA VITU VYAKE
 MPIGA DRAMS AKIWA KAZINI
 BASS GITAA WA PRAISE TEAM NA MASS CHOIR
 MPIGA KINANDA WA MBEZI BEACH MASS CHOIR NA PRAISE TEAM
 VIJANA WAKIPATA CHAKULA
 MAMA LAMEKI AKIHUDUMIA VIJANA WENZIE WA KWA CHAKULA SAFI SANA

 MAKAMU MWENYEKITI BWANA ELIHURUMA NGOWI NA MKEWE
 TIMU YA VIONGOZI WA UMOJA WA VIJANA KKKT MBEZI BEACH
 VIKOSI VYOTE VIWILI WAZEE NA VIJANA WA MBEZI BEACH KKKT
                     KIKOSI CHA TIMU YA VIJANA MBEZI BEACH KKKT
MCHUNGAJI KIONGOZI WA MBEZI BEACH KKKT AKIWA NA MZEE WA KANISA WAKIBADILISHANA MAWAZO MARA BAADA YA MECHI YA WAZEE WA KANISA NA VIJANA KUMALIZIKA

No comments:

Post a Comment