Saturday, December 8, 2012

ULEMKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU KITAIFA WAFANA;TANZANIA PRAISE TEAM WAFANYA KWELI CCC UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM


 WAKIIMBA WIMBO WA UFUNGUZI WA IBAADA

 JUKWAA LIKIWA LIMEFUMUKA KWA SHANGWE ZA BWANA
 HAPA SASA MAMBO NDO YANAANZA KUNOGA WACHA KABISA
 MWENYEKITI WA KAMATI NAE HAKUWA MBALI KATIKA KUMSIFU NA KUMWABUDU MUNGU
 WATUWAKISEREBUKA NA MANYIMBO YA KUMSIFU MUNGU KWAAJILI YA TANZANIA
 ANNA KWEKA MWIMBAJI TOKA KUNDI LA TANZANIA PRAISE TEAM AKIABUDU
MRATIBU AKIENDELEA KUTOA UTARATIBU KABLA YA KUANZA IBAADA


No comments:

Post a Comment