Thursday, February 14, 2013

HAPPY VALENTINE DAY NA MASTORI YANAYOTEMBEA KWA BBM LEO

HIZI NDIZO BC ZA WATU BBMUMEJIANDAAJE NA SIKU YA KUPEANA VIRUSI DUNIANI?JE JE UMESHANUNUA NGUO NYEKUNDU ISHARA YA KUMWAGA DAMU?JE UMECHAPISHA KADI KWAAJILI YA KUGAWA TIKETI YA KWENDA AKHERA?NA JE UMEANDAA UA KWAAJILI YA KUPAMBA KABURI LAKO?TAFAKARI CHUKUA HATUA..!NAAM HATIMAYE ILE SIKU YA MAPENZI YA KINAFIKI  NA YENYE KULETA UCHUNGU IMEFIKA TAKE CARE!ANAMALIZA KWA KUSEMA MAPENZI YA KWELI HAYANA SIKU MAALUM,KAA MBALI NA MKUMBO ILI KUJIOKOA NA MAUMIVU YA MOYO.

No comments:

Post a Comment