Saturday, February 16, 2013

KWA HAYA NCHI HAIKO SAWA

KUMEKUA NA MATUKIO MENGI TANGU KUANZA MWAKA WA 2013  YANAYOONYESHA WAZI KUWA SAFARI YA MWAKA HUU HUENDA IKAWA NGUMU SANA KWA WANANCHI WA TANZANIA KAMA KATITAFANYIKA KITU.TATIZO KUBWA NI KUKOSEKANIKA KWA AMANI TENA KWA NGAZI YA WATU WA CHINI KABISA NA KWANGAZI ZA KIUONGOZI.MAANDAMANO  YENYE MADAI TOFAUTI TOFAUTI YAMEKUA YAKIJITOKEZA,VURUGU ZA KIKABILA NA KIDINI ZIMETAWALA.SAKATA LA GESI HUKU LIKIWA HALIJAPUNGUA MAKARI TUMESHUHUDIWA WASOMI WETU WAKIFANYIWA UNYAMA KWENYE MAENEO WANAYOISHI,MAANDAMANO YA KIDINI AMBAYO SASA NADHANI HUENDA YAKAZOELEKA MASIKIONI MWA WATU KWASASA.MAANA IMEKUWA KAWAIDA SANA.KUANZISHWA KWA BUCHA ZA KIDINI KUNAKOPELEKEA KUJITENGA KIJAMII.SASA KIFUATACHO BUNGE NAO WAMEKUJA NA MPANGO WA KUZUIA KURUSHA MATANGAZO  YAO LIVE JE?TUNAWEZA JIRIDISHA KUWA TAIFA LIPO SAWA KWA SASA?

No comments:

Post a Comment