Wednesday, March 20, 2013

UNDER THE SAME SUN WAZINDUA VIPINDI VYA REDIO KAMA SEHEMU YA CAMPAIGN KWA KANDA YA ZIWA

 Barozi wa Canada Nchini Tanzania Bwana.Alexandre Leveque akiongea na waandishi wa habari kabla ya ufunguzi wa Radio
                             Barozi wa Canada Nchini Tanzania Bwana.Alexandre Leveque
 Waandishi wa habari wakisubiri uzinduzi wa vipindi vya radio kanda ya ziwa leo kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za UNDER THE SAME SUN
 Production Manager wa mradi Bi.Rachael Moyo Akiwaeleza waandishi kuhusu mradi wa radio ukanda wa ziwa

 Barozi wa Canada Nchini Tanzania Bwana.Alexandre Leveque Akikabidhi hundi kwa mkurugenzi wa UNDER THE SAME SUN Bi.Vicky Ntetema
 mkurugenzi wa UNDER THE SAME SUN Bi.Vicky Ntetema akijibu maswali ya waandishi wa habari
 Barozi wa Canada Nchini Tanzania Bwana.Alexandre Leveque akifungua shampeni

 Barozi wa Canada Nchini Tanzania Bwana.Alexandre Leveque akifungua shampeni
 Barozi wa Canada Nchini Tanzania Bwana.Alexandre Leveque akisikiliza jambo ofisini kwa mkurugenzi wa UNDER THE SAME SUN Bi.Vicky Ntetema

 Hii ndiyo team nzima ya UNDER THE SAME SUN wakiwa na Barozi wa canada nje ya ofisi za under the same sun
Uzinduzi wa vipindi vya Radio umelenga kuhamasisha watu mbalimbali kuishi na watu wenye ulemavu wa ngozi kama watu wengine ilikupunguza kasi ya mashambulizi dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi.vipindi hivi vitasikika zaidi kwenye radio za kanda ya ziwa na maeneo mengi ambayo yamekuwa yakikumbwa na uvamizi/mashambulizi dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi(albino)

No comments:

Post a Comment