Saturday, May 18, 2013

JITAMBUE KISAIKOLOJIA.................KIPINDI KIPYA CHENYE WATU MAKINI

JITAMBUE KISAIKOLOJIA NI KIPINDI KIPYA KITAKACHO KUWA KINAZUNGUMZIA MAMBO MENGI YA KISAIKOLOJIA PAMOJA NA UJASIRIAMALI.AMBAPO UTAPATA KUJUA MAMBO MENGI KUHUSU SAIKOLOJIA YA MWANADAMU AFYA, CHANGAMOTO KATIKA MAPENZI,CHANGAMOTO KATIKA MAISHA,HAIBA YAKO,MACHIMBUKO YA TABIA MBALIMBALI ZA WATU TOFAUTI TOFAUTI,MAISHA,MIKASA KATIKA MAISHA.TABIA ZA WATU KUWA MASHOGA/WASAGAJI NA MACHIMBUKO YA TABIA HIZI,NINI MADHARA YANAYOTOKANA NA KUINGIA KWENYE MAHUSIANO KWA SABABU ZISIZO ZA KIHISIA NA MENGINE MENGI.........YOTE UTAYAPATA NDANI YA KIPINDI CHA JITAMBUE KISAIKOLOJIA.........KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUFUATILIA BLOG YETU HII AU LIKE PAGE www.facebook.com/chris mauki kwa mambo mengi mazuri kuhusu saikolojia

No comments:

Post a Comment