Thursday, May 16, 2013

PICHA CHACHE ZA COMING SOON YA SHOW YA EBONY AMBAYO SASA ITAANZA KURUKA HIVI KARIBUNI IKIWA NA VITU TOFAUTI KABISA NA VILIVYOZOELEKA KWENYE SHOW ZINGINE HAPA TANZANIA KWA MIKASA MIZITO YA KIMAISHA MACHUNGU NA MAGUMU YANAYOPELEKEA KUWA FUNZO KWA MAISHA YA WENGINE. ENDELEA KUFUATILI TUTAKUJUZA MENGI ZAIDI
No comments:

Post a Comment