Friday, September 13, 2013

BAADA YA WATALII KUMWAGIWA TINDIKALI SASA NI KWA PADRI TENA.....

PADRI MWANG'AMBA WA KANISA KATORIKI ZANZIBAR AMEMWAGIWA TINDIKALI HUKO MAENEO YA MLANDEGE KATIKA CAFE YA SUNSHINE.KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUWA PAMOJA NASI............

No comments:

Post a Comment