Thursday, September 19, 2013

MESSI AANZA VYEMA UEFA ATUPIA TATU,CHELSEA WAENDELEA KUWAPA SHIDA MASHABIKI WAO

BAADA YA JANA RONALDO KUTUPIA KIMIANI MAGORI MATATU....NI KAMA MASAA 24 TU ALIONGOZA KWA HISTORIA HIYO NA KUJA KUONDOLEWA AMA KUWEKWA SAWA NA MSHAMBULIAJI NA MPINZANI WAKE KATIKA VIWANGO VYA SOKA DUNIANI MESSI.MESSI AMEFANIKIWA KUFUNGA MAGOLI MATATU KATIKA MECHI YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA USIKU HUU,WAKATI TIMU YAKE ILIPOIBUKA DHIDI YA WAPINZANI WAO AJAX AMBAO BWALIONEKANA KULEMEWA MNOO!!HATA HIVYO HALI IMEKUA MBAYA ZAIDI KWA CHELSEA BAADA YA KUJIKUTA IKIFUNGWA NYUMBANI KWAKE NA KUANZA VIBAYA MASHINDANO HAYA YALIYO BORA ZAIDI ULAYA.

No comments:

Post a Comment