Monday, September 30, 2013

JUMAPILI HII MTAALAM SAIKOLOJIA CRIS MAUKI KATIKA JITAMBUE KISAIKOLOJIA ANAZUNGUMZIA MADHARA YA HOFU

WATU WENGI SANA TUNA MATATIZO YA HOFU NA HUWA HATUJUI NAMNA YA KUSHUGHULIKIA MATATIZO YANAYOTUKABIRI KUTOKANA NA HOFU JUMAPILI HII SAA MOJA JIONI DTV UTAKUTANA NA MTAALAM WA SAIKOLOJIA CHRIS MAUKI AKIKUDADAVULIWA KWA UNDANI NAMNA YA KUIKWEPA AU KUONDOKANA NA HALI HII YA HOFU

No comments:

Post a Comment