Tuesday, September 3, 2013

NEWZ FOR FANS OF ARSENAL FC...........German international Ozil joins Arsenal

SIKU CHACHE BAADA YA KUFANIKIWA KUMREJESHA MCHEZAJI ALIEWAHI KIICHEZEA TIMU HIYO KATIKA MISIMU YA HUKO NYUMA FLAMINI ARSENAL WAMEKAMILISHA USAJILI WAO KWA KUMKAMATA KIUNGO WA TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI MESUT OZIL,AKITOKEA KATIKA TIMU YA REAL MADRID HUKO NCHINI UHISPANIA AMBAPO ALIKUWA AKICHEZA SOKA LAKE HUKO,USAJILI HUU NI WAZI KWAMBA UNALETA MATUMAINI KWA MASHABIKI WA ARSENAL AMBAO WALIANZA MSIMU KWA KUSUASUA.

No comments:

Post a Comment