Thursday, November 21, 2013

KATIKA HILI JIJI LA MBEYA LITAFUNIKA SANA SIKU ZIJAZO

 NIKITOKEA SUMBAWANGA KUELEKEA MBEYA HII NI SEHEMU TU YA PICHA ZA ANGANI PEMBEZONI MWA MJI WA SUMBAWANGA
 NA HAYAAA NI MAENEO YA MASHAMBA YA WAKAZI WA SUMBAWANGA
 MILIMA MIZURI INAYOVUTIA KATIKA MAENEO YA SUMBAWANGA

 MOJA YA MABONDE YALIYONIVUTIA SANA KATIKA MIPAKA YA SUMBAWANGA NA MBEYA
 MOJA YA MAENEO YA MILIMA YA SONGWE MBEYA





 HIKI NDICHO KILICHONIFANYA NIKUJUZE KUHUSU JIJI LA MBEYA,NI KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA SONGWE MBEYA KINACHOJENGWA SASA KWA VIWANGO VYA HALI YA JUU, NA HII NI SEHEMU YA MBELE YA KIWANJA HIKI UKIWA TU NDO UMESHUKA KWENYE NDEGE
 HII NI SEHEMU YA KUPAKI MAGARI KWA WALE WANAOSUBIRI WAPENDWA NA NDUGU ZAO KUWASILI UWANJANI HAPO
 SEHEMU YA KUTOKEA KATIKA KIWANJA HIKI CHA KIMATAIFA CHA SONGWE
 MOJA YA MAJENGO AMBAYO BADO HAYAJAISHA KATIKA KIWANJA HIKI


 ENEO LA JENGO LA GHOROFA LA KIWANJA HIKI LINALOENDELEA KUJENGWA
 SEHEMU YA KUPUMZIKIA WAGENI INAYOENDELEA KUJENGWA KATIKA KIWANJA HIKI,HAYA NDIYO YANAYONIFANYA NIONE KUWA MBEYA INAKUJA KUWA JIJI BORA MIONGONI MWA MAJIJI BORA TANZANIA KWAKUINGIZA WAGENI WENGI ZAIDI KUTOKA NCHI MBALIMBALI DUNIANI,,,,,,,,,,,,KWANI WANAVIVUTIO VINGI UKIACHILIA MBALI KUWA NA MILANGO KADHAA YA KUINGIA NA KUTOKA KATIKA NICHI YA TANZANIA

No comments:

Post a Comment