Saturday, November 23, 2013

KUHUSU ZITO KABWE NA CHADEMA HAYA NDIYO MAWAZO YANGU


MAWAZO YANGU TU HAYA......KAMA SABABU YA KUWAPO CCM ILIHITAJI MWALIMU NYERERE PEKE YAKE INGEKUWA ILISHAKUFA SIKU NYINGI SANA NA HASA ALIPOSEMA ANANG.'ATUKA............LAKINI BADO PAMOJA NA KUWA HATUNAE TUNAONA CCM IKIENDELEA KUSHIKILIA DOLA YA TANZANIA PAMOJA NA CHANGAMOTO ZINAYOIKABILI,KAMA KUWAPO NA MAFISADI NA WATU WASIO NA NIA NJEMA NA CHAMA HICHO............SISHANGAI ZITO KUVULIWA NYAZIFA ALIZOKUA ANASHIKILIA MAANA NAAMINI FUTURE YA CHADEMA SI KUWA NA ZITO KABWE NI KUWA NA CHAMA IMARA NA WATU MAKINI NA WAADILIFU............NCHI HII HAIHITAJI MTU MWENYE MVUTO KWA WATU WA AINA FLANI INAMAMBO MENGI YANAYOHITAJI MTU ANAETAZAMA KESHO YA MTANZANIA ASIEJUA HATA DAR ES SALAAM NI NINI............WAKATI JAMBO JIPYA LINAJENGWA KWENYE NCHI YAHITAJI KUTAZAMA KWA UMAKINI MAADUI WA NDOTO YETU WANAONEKANA KUWA WEMA LAKINI MWISHO WAKE WANAKUJA KUTUMALIZA...........HAIJARISHI YUDA ALIKUA NJIA MOJA NA YESU LAKINI MWISHO ALIHUSIKA KUMUUZA YESU KWA PESA ISIYO HATA NA THAMANI YA FUTURE YA KUSUDI ALILOKUJA NALO YESU DUNIANI............IJAPOKUWA WATU WALIMWONA KUWA NI MTUMISHI NA MWANAFUNZI WA YESU ALIKUWA NA KITU CHA USALITI NDANI YAKE..........HATUWEZI KUWAPENDA WATU NA KUBWAGA MIOYO YETU KWAO KWA SABABU TU WANATAKA KUUZA NCHI HII KWA PESA YA THAMANI YA GARI..........WAKATI WA KUAMKA NA KUTAZAMA KESHOYETU WATANZANIA IMEFIKA

No comments:

Post a Comment