Sunday, February 9, 2014

PICHA KADHAA ZA BIBI HARUSI KABLA YA KUINGIA KANISANI AKIWA SALOON GLAM BOX MASAKI: HIZI NIPOZI TOFAUTI TOFAUTI AKIWA SALOON HAPO

 BI TUMAINI AKIWA KATIKA POZI LA AINA YAKE MARA TU BAADA YA KUPAMBWA
 GLAMBOX MWENYEWE AKIWA KAZINI WAKITHAMINISHA MISHUMAA
 MATRON AKIMSAIDIA TUMAINI KUWEKA HELENI SAWA SAWA
 WAKIITHAMINISHA PETE YA UCHUMBA
 AKIWEKA HELENI SIKIONI SAWA SAWA


 AKIWA AMESJIKILIA UBAO WENYE MAANDISHI LOVE
 AKIWA KATIKA POZI KWENYE CHUMBA MAALUM GLAMBOX
 AKIWA KATIKA POZI LA AINA YAKE NA RAFIKI YAKE
 AKISAIDIWA NA MATRON KUFUNGA VIATU
BAADA YAKUMALIZA KUPAMBWA TAYARI KWA SAFARI YA KANISANI

No comments:

Post a Comment