Wednesday, October 3, 2012

BAG PARTY SIKUIZI ZIMEKUA ZIKIONGEZEKA SANA NA VIJANA WENGI AMBAO HUWA KWENYE MATARAJIO YA KUOA HUANDALIWA PARTY YA NAMNA HIYO NA NA KUPEWA ZAWADI KIBAO KAMA INAVYOFANYIKA KWA KITCHEN PARTY ZA WADADA,HIZI NI BAADHI YA ZAWADI AMBAZO ZILITOLEWA KTK MOJA YA BAG PARTY
No comments:

Post a Comment