Thursday, October 11, 2012

Nimeamini kweli Disability in not Inability...mcheck Mwanamuziki Denno ambaye ni mlemavu wa macho (Kipofu) alivyobamba kwenye video kali ambayo ameshirikishwa na Mzee wa system ya Kapungala mimi hupenda muita Kaka Tobina...Lakini wengi humfahamu kwa jina la Daddy Owen..Enjoy na jifunze pia,Its an insipiration song..MBONA


No comments:

Post a Comment