Tuesday, November 6, 2012

KAMA HUTAAMKA WENZIO WATATUMIA HATA NYUMBA YAKO KUJIPATIA PESAWatu wengi sana hawapendi kusimulia Uzuri wa nchi hii Jamani Tanzania ni Nchi njema yenye maziwa na Asali.kunamambo mengi mazuriwatanzania tujifunze kutangza vivutio vyetu tusiache wageni waje watangaze Vivutio vyetu kwamajina ya nchi zao na huku sisi tukiishia kushangaa tu

No comments:

Post a Comment