Thursday, March 14, 2013

MTOTO WA MIAKA KUMI MWENYE ULEMAVU WA NGOZI AKATWA MKONO :HIZI NI PICHA CHACHE AKIWA AIRPORT YA DAR ES SALAAM JANA AKIWA AMEKUJA KUTIBIWA

                                 waandishi wa habari wakiwa wanamngoja kabla ya ndege kutua
 MSIMAMIZI WA UNDER THE SAME SUN VICK NTETEMA AKIONGEA NA WAANDISHI

MTOTO MWIGULU ALISHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA AKITOKEA SHULENI KIJIJINI KWAO NSIA WIRAYA YA SUMBAWANGA VIJIJINI NA KUKATWA MKONO BAADAE WALE WATU WALIONDOKA NA MKONO WAKE.IMANI ZA KISHIRIKINA ZINAHUSISHWA DHIDI YA MASHAMBULIO WANAYOFANYIWA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI.NILIPOONGEA NA MTOTO HUYU ALISEMA KWAMBA HATAMANI KUISHI TENA KWENYE KIJIJI ALICHOZALIWA KUTOKANA NA HOFU YA MAISHA YAKE.
SASA YUPO DAR KWA MATIBABU AKISAIDIWA NA UNDER SAME SUN 

No comments:

Post a Comment