Tuesday, May 21, 2013

HABARI MPYAAAAAAAAA......................................MSANII WA BONGO JOSEPH HAULE MAARUFU KAMA PROFESA J AJIUNGA CHADEMA RASMIMsanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.
huyu ni mpambanaji mwingine mwenye kundi kubwa la watu nyuma yake na hasa vijana kujiunga katika chama cha  Demokrasia na Maendeleo CHADEMA huku watu wengi wakitarajia mambo mengi mazuri kutoka kwa msanii huyu nguli nchini TANZANIA.

No comments:

Post a Comment