Monday, May 27, 2013

HATIMAYE NEYMAR DA SILVA ASAINI MKATABA WA KUICHEZEA FC BARCELONA KWA MIAKA 5

MSHAMBULIAJI MATATA WA TIMU YA TAIFA YA BLAZIL NEYMAR DA SILVA AMESAINI MKATABA WA KUICHEZEA SOKA TIMU YA FC BARCELONA KWA MIAKA MITANO
BARCELONA WAMEVIPIKU VILABU VYA CHELSEA,REAL MADRID NA MAN CITY NA KUMNYAKUA MCHEZAJI KINDA MWENYE MAMBO MENGI AWAPO WANJANI
NEYMAR ANAJIUNGA NA WACHEZAJI MATAT DUNIANI INESTA,XAVI NA MESSI HUKU AKITARAJIWA KUFANYA MAMBO MAKUBWA KATIKA MSIMU UNAOANZA KATIKATI YA MWEZI WA NANE MWAKA HUU

No comments:

Post a Comment