Wednesday, November 27, 2013

MAAJABU YA DARAJA LA MUNGU RUNGWE MBEYA

 VIKO VIVUTIO VINGI SANA NCHINI KWETU TANZANIA AMBAVYO VINAWEZA KUWA VYANZO VIKUBWA VYA MAPATO.....HII NI SEHEMU YA MTO RUNGWE NA KATIKA PICHA NI DARAJA LA MAAJABU,AMBAPO KAMA INAVYOONEKANA MAJI YANAPITA CHINI YAKE NA JUU KUKIWA NA MWAMBA,AMBAPO INAONEKANA KAMA JIWE LILILOCHONGEKA

 SEHEMU HII NI MAJI YANAPITA CHINI  KWA KASI KUBWA LKINI UKITAZAMA UPANDE WA PILI MAJI YAMETULIA KABISA KANAKWAMBA HAKUKUA NA MSUKUMO KABISAHII NI SEHEMU YA JUU YA DARAJA HILI LINALOITWA DALAJA LA MUNGU

No comments:

Post a Comment