Thursday, December 12, 2013

SOLLY MAHLANGU KUTUMBUIZA KATIKA TAMASHA LA CHRISTMAS 2013 MWIMBAJI NGULI WA MUZIKI WA INJILI BARANI AFRIKA,SOLLY MAHLANGU ATAKUWA NI MOJA YA WAIMBAJI WATAKAOTUMBUIZA KATIKA TAMASHA HILO LA CHRISTMAS MWAKA HUU 2013 AKIELEZA TAARIFA ZA UJIO WA NGULI WA MUZIKI WA INJILI BARANI AFRIKA WAANDAAJI WA TAMASHA HILO MSAMA PROMOTIONS CHINI YA MKURUGENZI WAKE ALEX MSAMA AMEVIAMBIA VYOMBO MBALIMBALI KUWA MWIMBAJI HUYO ATAKUWA NI MOJA KATI YA WAIMBAJI KUTOKA NJE YA TANZANIA WATAKAO ITIKISA NCHI KWA VISHINDO VYA MUZIKI WA INJILI,SOLLY ATAAMBATANA NA WAIMBAJI 14 KATIKA TIMU YAKE NA ATAACHILIA NYIMBO 14 KATIKA JUKWAA SIKU HIYO,MWIMBAJI HUYU NGULI WA MUZIKI WA INJILI BARANI AFRIKA MWENYE SIFA ZA KUCHEZESHA WATU MASAA YOTE UTAPATA KUMWONA KWA VIINGILIO VIFUATAVYO; WATOTO KWA 2000/= WAKUBWA KATIKA VITI VYA KAWAIDA KWA 5000/= NA VIP B KWA 10,000/= NA VIP A KWA 20,000/=


No comments:

Post a Comment